Halmashauri ya wilaya ya Masasi ni miongoni mwa Halmashauri ambayo inatekeleza miradi mbalimbali ya Maendeleo ambayo inafadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF). Katika kipindi hiki Halmashauri ya Wilaya ya Masasi inatekeleza miradi ya TASAF awamu ya Tatu (III) ambayo inahusiana na Mpango wa kunusuru Kaya Masikini na Miradi wa kutoa ajira ya muda (PWP) kwa walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya masikini.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa