Afisa Mwandikishaji wapiga kura wa Jimbo la Ndanda na Lulindi anawatangazia wananchi wote kuwa waliopo kwenye orodha hapo chini baada ya kufanya Usaili wamefaulu wote na kuitwa kwenye kazi ya muda kwenye zoezi la Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Mpiga kura 2025.
Kuona majina Bofya hapo chini
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa