• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAZIRI SIMBACHAWENE AMEWATAKA WAKULIMA KUZALISHA MAZAO YA KILIMO NA MIFUGO KWA TIJA

Posted on: August 3rd, 2017

WAZIRI wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe George Simba Chawene  wamewasii wakulima, wafugaji na wavuvi pamoja na wajasiliamali wa mazao ya mifugo  kote nchini kutumia teknologia zinazooneshwa katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa  katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi  na kanda zingine ili kwa pamoja tuweze kuzalisha  kwa tija mazao ya bidhaa ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ili kufikia uchumi wa kati kama kaulimbiu ya maonesho yaha inavyosema.

Mhe Simba Chawene  aliyasema hayo wakati wa kufungua maonesho hayo ya Ki-taifa  tarehe moja Agosti mwaka huu  na kueleza kuwa wananchi wanaaswa kuzitumia Teknologia hizi ili waweze kuongeza uzalishaji kwani mkulima, mfugaji na mvuvi anapata fursa ya kufahamu njia bora na za kisasa za uzalishaji wenye tija katika eneo dogo au idadi ndogo ya mifugo.

“Nimetembelea mabanda nimejionea mazao yamestawi sana, ufugaji wa kisasa  wa wanayama na samaki sasa teknologia hizo ziwafikie wananchi na sio kuishia katika maonesho haya kwani lengo ni kuwafikia wananchi ambao ndio wazalishaji wakuu wa mazao ya kilimo na mifugo mfano taasisi za majeshi zinafanya vizuri sana katika uzalishaji hivyo ni lazima wanachi wanaowazunguka wafundishwe  kama watakataa wafundishwe kwa lazima” alisema  Mhe. Simba Chawene.

Mhe Simba Chawene  alisema kuwa, Sekta ya kilimo inachangia ajira kwa asilimia 65 na chakula kwa asilimia 100 huku katika pato la taifa sekta ya hii kwa mwaka 2015 ilichangia 29% na mwaka 2016 ilichangia kwa 29.1% hivyo ni sekta muhimu sana katika kuufikia uchumi wa kati unaoenda sambamba na uwepo wa viwanda.

Mhe Simba Chawene  Ili kuboresha sekta ya kilimo serikali imekuwa ikisambaza mbegu bora na za mda mfupi pamoja na kutoka dawa za kupulizia mikorosho bure kwa wakulima ili kuongeza uzalishaji na ubora wa zao la korosho kwa mia yote inayolima korosho ikiwemo mikoa ya lindi na mtwara.

Kwa upande wake Naibu wa waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi  Mhe. William Tate Ole Nasha alisema kuwa ili kumkomboa mkulima, serikali imefuta Tozo na ada mbalimbali za mazao kwa mkulima lakini imepunguza ushuru kutoka asilimia 5 hadi asilimia 3 kwa mazao ya biashara na asilimia 2 kwa mazao ya chakula ili wakulima wanufaike na kazi yao wanayoifanya,  kusafirisha mazao chini ya tani moja hakuna kulipa ushuru.

Mhe Mhe. William Tate Ole Nasha alisema kuwa zao la korosho ndio zao linaloiliingizia  nchi fedha za kigeni na ndio maana serikali imeamua kutoa dawa za kuulia wadudu bure na kusimamia uuzaji wa zao hilo kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani ambao ni wa wazi na huru ili kuepuka uuzaji holela pamoja na kuzisafirisha kupitia bandari ya Mtwara na sio vinginevyo kwa korosha za Mtwara na Lindi.

Maonesho ya nanenane yalianza rasmi mwaka 1993 mjini mbeya na yanaendelea mpaka sasa ambapo kwa upande wa kanda ya kusini maonesho haya Kitaifa yalianza kufanyika mwaka 2014 na  yamefanyika kwa mfululizo mpaka mwaka huu 2017 baada ya maonesho haya miaka mingine yataendelea kuadhimishwa kikanda.

Aidha, maadhimisho ya Ki-Kanda yatafanyika katika viwanja vya maonesho ya John Mwakangale –Mbeya; Mwalimu J.K. Nyerere –Morogoro; Themi – Arusha; Nzuguni - Dodoma; Nyahongolo – Mwanza; na Fatuma Mwassa - Tabora. Maandalizi na maonesho ya Ki-Kanda yanaratibiwa na uongozi wa mikoa husika. Washiriki wa maadhimisho ya Ki-Kanda wanatakiwa kuwasiliana na Sekretarieti za Mikoa husika ili kupata maelekezo na taratibu zingine za ushiriki.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • MSIGWA: MAAFISA HABARI NI SAUTI YA SERIKALI, TANGAZENI MAFANIKIO YA SERIKALI KWENYE MAENEO YENU.

    May 25, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNAKUWA WABUNIFU NA WAZALENDO ILI WANANCHI WAPATE HABARI SAHIHI NA KWA WAKATI.

    May 23, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MASASI DC KWA KISHINDO:WATEMBELEA MIRADI MITANO YENYE THAMANI YA TSH.MILIONI 678,844,040.00

    May 19, 2025
  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa