• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

UTOAJI WA ELIMU YA KUPIMA AFYA KWA JAMII, MKAKATI WA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA UKIMWI

Posted on: July 6th, 2018

Ili kufika lengo la serikali la kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi nchini ifikapo mwaka 2020, nguvu na jitihada zaidi zinahitajika katika kuzuia maambukizi mapya ya UKIMWI kwa kuboresha namna ya utoaji huduma katika ngazi ya jamii ikiwemo  kuelimisha wananchi kupima afya zao ili kutambua hali zao huku wanaokutwa na maambukizi kuanza kutumia dawa na wasio na maambukizi kuendelea kujikinga.

Hayo yamebainishwa leo katika kikao cha wadau wa maendeleo wakiwemo wamiliki wa asasi mbalimbali za kiraia, taasisi za benki na taasisi za dini katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi kilicholenga kujadili namna ya kukabiliana na ugonjwa wa ukimwi ambapo suala la kutoa elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa kupima afya zao pamoja na kutumia dawa za kufubaza Virusi vya Ukimwi limejadiliwa ili kufikia lengo la kuwa na jamii isiyona maambuki ifikapo 2030.

Akizungumza katika kikao hicho, Afisa Mradi -programu ya uwezeshaji kamati  shirikishi za waishio na virusi vya ukimwi na uboreshaji wa mifumo ya serikali za mitaa kupitia shirika la JSI ndugu Pamela Msei amesema kuwa, ili utoaji wa elimu ya kuhusu ukimwi iwafikie wananchi kamati za ukimwi ngazi ya jamii lazima zitumike kwani kupitia kamati hizo wananchi wengi wanaweza kupata elimu ya upimaji, matumizi ya dawa, kutonyanyapaa waathirika, elimu ya lishe na shughuli za uchumi.

“Tunaziwezesha kamati kuanzia ngazi ya kijiji hadi halmashauri ili kuwezesha mfumo bora wa utoaji wataarifa za masuala mbalimbali ya UKIMWI ikiwemo kujua idadi ya wagonjwa, mahitaji yao, pamoja na kuwafuatilia matumizi ya sahihi ya dawa” alisema Pamela.

Pamera ameeleza kuwa , Kila mdau wa maendeleo anayo nafasi ya kuchangia juhudi za serikali katika kuhakikisha maambukizi ya ukimwi  Tanzania  yanapungua ifikapo mwaka 2020 ambapo 90% ya watanzania wawe wamepima VVU, 90% waliokutwa na maambukizi wanatumia dawa na  90% walioanza kutumia dawa wanaendelea  utumia na ifikapo mwaka 2030 maambukizi mapya iwe 0%, vifo vitokanavyo na UKIMWI 0% na unyanyanyapaa 0%.

Wakati juhudi za kutokomeza maambukizi mapya yakiwa yanaendelea, pia shughuli za uchumi zinapaswa kuendela hivyo watu wenye maambukizi  ya virusi vya UKIMWI waliojiunga kwenye vikundi wanafursa ya kupata mikopo kama watu wengine.

 Kwa upande wake mwakilishi wa Taasisi za dini shekhe Baina ameeleza kuwa pamoja na kuwa dini inasisitiza masuala ya kiroho, lakini pia inawasisitiza waumini kuwa n afya njema hivyo kila mtu ana wajibu wakupia afya lakini pia watu wawe waaminifu kwenye mahusiano lakini kama hujaoa achana na uzinzi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • MSIGWA: MAAFISA HABARI NI SAUTI YA SERIKALI, TANGAZENI MAFANIKIO YA SERIKALI KWENYE MAENEO YENU.

    May 25, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNAKUWA WABUNIFU NA WAZALENDO ILI WANANCHI WAPATE HABARI SAHIHI NA KWA WAKATI.

    May 23, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MASASI DC KWA KISHINDO:WATEMBELEA MIRADI MITANO YENYE THAMANI YA TSH.MILIONI 678,844,040.00

    May 19, 2025
  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa