• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RAIS MAGUFULI AFUNGUA KITUO CHA AFYA MBONDE, MASASI

Posted on: April 5th, 2019

Rais  wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, amefungua  kituo cha Afya  Mbonde  kilichopo wilayani Masasi  mkoani Mtwara kikiwakilisha vituo 352 vilivyojengwa kote nchini kwa kipindi cha miezi 18 yaani tangu  mwezi desemba 2017 hadi saa kupitia mpango wa maboresho ya  afya.

Mhe. Rais alifanya ufunguzi huo, akiwa kwenye ziara  ya kikazi Mkoani Mtwara  na kueleza kuwa kituo cha Afya Mbonde kilichogharimu shilingi milioni 500 ni kati ya vitu 13 vilivyojengwa Mkoani Mtwara vikiwa na uwezo wa kutoa huduma za matibabu mbalimbali ikiwemo upasuaji kwani ina vifaa vya kisasa.

Mhe. Rais ameeleza kuwa “nimekuja kufungua kituo hiki  cha Mbonde kwa niaba ya vituo vyote 352 vinavyojengwa nchi nzima baada ya kujiridhisha hatua za ujenzi kwa kila kituo, nawapongeza  sana Masasi kwa ujenzi mzuri ulioendana na thamani ya fedha”

Mhe. Rais amefafanua kuwa, Vituo hivi vimejengwa kwa fedha za serikali na wadau mbalimbali  wa maendeleo wakiwemo Benki ya Dunia, Kanada, Serikali ya Ujerumani, UNICEF na wengine, “ nawashukuru sana kwa mchango wao wa kuimarisha afya  za wananchi”

Mhe. Rais ameeleza kuwa, Serikali imetumia jumla ya shilingi bilioni 184 kujenga vituo vyote 352 nchi nzima kwa lengo la kuboresha huduma za uhakika za matibabu katikakaribu na maeneo wanayoishi

Nae Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo amesema, Serikali ya awamu ya tano imefanikiwa kujenga vituo vya Afya 352 na Hospitali 67 nchi nzima  kwa muda wa miezi 18 ambapo kwa Mkoa wa Mtwara hospitali   3 zinajengwa katika wilaya za Mtwara, Masasi na Nanyamba ukilinganisha na hospitali 77 zilizokuwa zimejengwa tangu Uhuru.  

Mhe. Jafo ameeleza kuwa “Ofisi ya Rais TAMISEMI inatekeleza ahadi za Rais kwa kusimamia miradi inayoguza wananchi wanyonge ikiwemo afya  kupitia Mpango wa maboresho ya  afya kwa katika ngazi za serikali za chini kabis”

Kwa mujibu wa Mhe. Jafo,  Ujenzi wa miradi hii ya afya unatumia mafundi wa kawaida, hivyo kwa miradi yote inayotekelezwa watanzania zaidi 7000 wamepata ajira mbalimbali na kujiongezea kipato.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • MSIGWA: MAAFISA HABARI NI SAUTI YA SERIKALI, TANGAZENI MAFANIKIO YA SERIKALI KWENYE MAENEO YENU.

    May 25, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNAKUWA WABUNIFU NA WAZALENDO ILI WANANCHI WAPATE HABARI SAHIHI NA KWA WAKATI.

    May 23, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MASASI DC KWA KISHINDO:WATEMBELEA MIRADI MITANO YENYE THAMANI YA TSH.MILIONI 678,844,040.00

    May 19, 2025
  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa