"AFYA NI MTAJI WAKO, ZINGATIA UNACHOKULA"
Katika kuadhimisha Maadhimisho ya siku ya Lishe kitaifa ambayo yameanza tarehe 17 - 22 / 2025, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi nayo inashiriki kikamilifu kwa kuendelea kutoa huduma kwa jamii ikiwemo utoaji wa elimu na unasihi wa lishe pamoja na kufanya tathimini ya hali ya lishe.
Huduma hizo zinatolewa katika Vituo vyote vya kutolea huduma za Afya vya umma na binafsi.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa