• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

LISHE BORA CHANZO CHA JAMII YENYE AFYA BORA KIAKILI NA KIMWILI

Posted on: July 25th, 2018

Ili kuwa na  jamii yenye watu wenye uwezo mzuri wa kufikiri na afya bora,  Suala la lishe bora na kupata huduma za afya kwa  mama mjamzito ni muhimu kuanzia  kipindi cha  ujauzito na baada ya ujauzito kwa kuwa  ndio msingi wa afya bora kwa mtoto kimwili na kiakili.

Hayo yalizungumzwa na meneja wa mradi wa Agha khan Foundation ndugu Biko Evaristy wakati wa hafla fupi ya kukabidhi mradi wa kuboresha huduma za afya uliotekelezwa katika kata sita ambapo pamoja na kutoa elimu ya lishe na unyonyeshaji watoto pia waliweza kujenga miundombinu ya kuvuna maji ya mvua katika vituo vya kutolea huduma lengo ikiwa ni kuhakikisha utoaji wa huduma za afya unakuwa wa kuridhisha.

Biko alieleza kuwa kati ya vitu vinavyoathiri watu wengi ni lishe duni inayopelekea utapiamlo, kwani inakadiliwa  zaidi ya watoto milioni 180 duniani wenye umri chini ya miaka mitano wamedumaa kiakili na kimwili kwa kusosa lishe bora hali inayopelekea watoto kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na kujifunza kuwa mdogo.

Kiafya, Uzingatiaji wa Lishe bora unafanyika ndani ya siku 1000 yani tangu mama anapata ujauzito hadi mtoto anapofikisha umri wa miaka miwili, kwani ndio namna pekee ya kuhakikisha mtoto anakua vizuri kwa kunyonyeshwa vizuri na kupata lishe bora ili kumwepuka mama na mtoto kupata matatizo ya kiafya na kiakili ikiwemo utapiamlo, udumavu kwashakoo, ugonjwa unaotokana na kupunguza au kuzidisha mahitaji muhimu katika mwili

Kwa mujibu wa Afisa lishe wa Halmashauri ya wilaya ya masasi ndugu Victoria Ngatunga ilifafanua kuwa, Kuna aina mbalimbali za utapiamlo ambazo mtoto anaweza kuzipata ikiwemo utapiamlo wa kukonda, utapiamlo wa ufupi na hali hiyo huwa hivyo mpaka kwenye maendeleo ya ubongo wake.

Afisa Lishe aliongeza kuwa Mtoto kuwa na uzito usioendana na umri pia ni utapiamlo uliosababishwa na mtoto kukosa madini na vitamini  hali ambayo hupelekea mtoto dumaa ubongo.

“ watoto wengi walioshindwa kuwa na kimo kulingana na umri wao wanashida ya kuto elewa, kufikiri na kujifunza mambo kwa wepesi hasa wakiwa shuleni kutokana na uwezo wao wa kuelewa kuwa chini sana hali inayopelekea walimu kutumia nguvu nyingi kufundisha bila mafanikio yaliyotarajiwa”,anasema Ngatunga.

Ili kuwa na kizazi cheye watu wenye uwezo mzuri wa kufiri , kujifunza na kujiamini ni lazima mama mjamzito azingatie lishe bora, kupata huduma za afya kwa kwenda kliniki, kunyonyesha mtoto kwa muda wa miaka miwili na kumupa lishe inayotakiwa.

Ifike wakati jamii ichukue hatua ili kuwasaidia watoto kukua vizuri kimwili na kiakili ikiwa pamoja na kuhakikisha Taifa linaendelea kwani udumavu kwa watoto unarudisha nyuma maendeleo yao na Taifa kwa ujumla.

 Aidha  wanawake wanapaswa kufuata taratibu za kiafya zinazotolewa na wataalam wa afya ili kuwapa watoto kinachostahili ikiwa ni njia bora ya kuepuka tatizo la udumavu linalowakuta watoto wengi nchini na kusababisha kurudisha nyuma maendeleo yao ya kimwili na kiakili, kumaliza tatizo la udumavu katika jamii inawezekana chukua hatua ya kuzingatia lishe bora na huduma za afya

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • MSIGWA: MAAFISA HABARI NI SAUTI YA SERIKALI, TANGAZENI MAFANIKIO YA SERIKALI KWENYE MAENEO YENU.

    May 25, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNAKUWA WABUNIFU NA WAZALENDO ILI WANANCHI WAPATE HABARI SAHIHI NA KWA WAKATI.

    May 23, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MASASI DC KWA KISHINDO:WATEMBELEA MIRADI MITANO YENYE THAMANI YA TSH.MILIONI 678,844,040.00

    May 19, 2025
  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa