• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

JAMII IELIMISHWE KUHUSU LISHE BORA

Posted on: July 3rd, 2017

Kutokana na umuhimu wa lishe katika kujenga afya ya mwili, elimu inayohusu masuala ya lishe inapaswa kutolewa kwa kiasi kukubwa  kwa jamii ili kujenga uelewa juu ya  umuhimu wa kula Chakula bora au mlo kamili unajumuisha makundi matano ya vyakula ambayo ni nafaka, mizizi na ndizi, kundi la pili: vyakula vyenye jamii ya kunde na vyenye asili ya wanyama, kundi la tatu: mbogamboga, kundi la nne ni matunda na kundi la tano ni mafuta na sukari.

Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa kamati ya lishe ya Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Bi Changwa M. Mkwazu wakati wa kikao cha kujadili taarifa ya utekelezaji kwa robo ya tatu na ya nne, na kubainisha kuwa watu wengi wanakumbwa na matatatizo ya kiafya yanayosababishwa na ukosefu wa lishe bora ikiwemo kwashakoo, marasmasi (unyafuzi) , upungufu wa damu wajawazito na watoto walio chini ya miaka mitano (Iron Deficiency Anaemia),  Utapiamlo, kisukari, kukosa Vitamini na  madini

Mkwazu alisema kuwa, kukosekana kwa elimu ya lishe bora kwa jamii ndio chanzo kikubwa cha watu wengi kushindwa kuelewa namna ya kuhakikisha wanakula chakula ambacho kina makundi yote ya chakula hali inayopelekea uwepo wa magonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya kwa jamii.

“Kwa Masasi vyakula ni vingi sana ila jamii haielewi kula kwa kufuata lishe bora badala yake wanakula ilimradi washibe tu, hivyo mtaalamu wa lishe ni lazima awaelimishe wananchi hususani akina mama namna ya kuandaa chakula chenye makundi yote matano kwa kutumia mazao waliyonayo na hatimaye tuwe na jamii yenye afya” alisema Mkwazu

Kwa elimu hiyo itasaidia jamii kuondokana na mazoea ya kula chakula cha aina moja badala yake watakuwa wanachanga au kubadilisha aina ya vyakula ili kuipa miili yao afya njema na pia  kuepukana na maradhi mbalimbali yanayosababishwa na kuto kula chakula kinachozingatia mlo kamili/lishe,

Wananwake wajawazito wasipopata chakula kinachozingatia lishe bora wanahatari ya kupata magonjwa na uungufu wa damu hali ambayo imepelekea kiwango cha watoto wanaozaliwa na uzito mdogo chini ya kilo 2.5 kuongezeka sana na hivyo kuhatarisha maisha ya watoto hao.

Kwa uande wake meneja wake meneja wa mradi wa  afya na lishe kanda ya kusini   unaofadhiliwa na Agh Khan ndugu Anna Godfrey alisema kuwa kutokana na hali duni ya lishe ,kupitia shirika hilo wananwake wa vijijini wamekuwa wakielekezwa namna ya kuandaa chakula kinachozingatia lishe kwa kutumia mazao yaliyopo kama njia ya kujenga uelewa lakini pia kujenga utamaduni wa kula chakula ambacho kinazingatia makundi matano ya vyakula.

Meneja alisema kuwa pamoja na kufundishwa namna ya kuandaa chakula cha familia lakini pia wanafundishwa namana ya kuandaa chakula cha matoto kuanzia miezi sita na kuendelea ili waweze kukua vizuri na hivyo kuondoa maradhi kwa watoto kama utaiamulo na unyafuzi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • MSIGWA: MAAFISA HABARI NI SAUTI YA SERIKALI, TANGAZENI MAFANIKIO YA SERIKALI KWENYE MAENEO YENU.

    May 25, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNAKUWA WABUNIFU NA WAZALENDO ILI WANANCHI WAPATE HABARI SAHIHI NA KWA WAKATI.

    May 23, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MASASI DC KWA KISHINDO:WATEMBELEA MIRADI MITANO YENYE THAMANI YA TSH.MILIONI 678,844,040.00

    May 19, 2025
  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa