"KURA YAKO HAKI YAKO JITOKEZE KUPIGA KURA"
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ndanda na Lulindi Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara Ndg.Keneth Mgina leo tarehe 26 Agosti 2025 amemkabidhi fomu ya Uteuzi mgombea Ubunge Jimbo na Ndanda kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg.Faraji Buriani Nandala, ambapo fomu zimetolewa katika Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ndanda na Lulindi zilizopo Mbuyuni- Masasi .
Hatua hiyo imepelekea idadi ya Vyama vya Siasa ambavyo wagombea wake tayari wamechukua fomu za uteuzi wa nafasi ya Ubunge na Madiwani ni vyama sita (06) kikiwemo Chama cha Mapinduzi (CCM), CUF, ACT WAZALENDO, NLD, CHAUMA NA AAFP.
26/08/2025
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa