Epuka vyakula vyenye viungo vingi, mafuta mengi au sukari nyingi
Ongeza viungo kama tangawizi, limao, mdalasini, iliki n.k kwenye vyakula mbalimbali ili kuleta harufu nzuri kwa chakula na kuongeza hamu ya kula
Binadamu wote wanahitaji chakula chenye kukidhi mahitaji ya kilishe ya miili yao.chakula huupatia mwili virutubishi mbalimbali kwa ajili ya afya bora ,ambayo ni pamoja
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa