Ujenzi wa Vyumba Viwili vya Madarasa vikiwa katika hatua ya Boma kwa fedha za Uviko-19/2021 shule ya sekondari Nanganga ujenzi unaendelea kwa kasi.