Ujenzi wa Zahanati Chiwata ulianza mwaka 2013/2014 unategemewa kukamilika mwaka huu wa fedha 2018/2019, Mradi huu uliibuliwa na kuanza kutekelezwa na wananchi na Halmashauri imechangia kiasi cha shilingi cha shs 31,000,000/= kutoka katika mapato yake ya ndani.
Jengo la choo
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa