Ujenzi wa vyumba vine vya madarasa katika S/M Chidya vyenye thamani ya shilingi milioni 80,000,000/= kupitia fedha za program ya lipa kulingana na matokeo P4R
Katika ujenzi huu jumla ya Tshs 6,200,000/= zimeokolewa,hivyo kamati ya shule imepanga Tshs 2,200,000/= zitumike kukarabati vyumba vitatu vya madarasa na Tshs 4,000,000/= zitatumika kuanzisha ujenzi wa ofisi ya walimu ikiwa ni pamoja na vifaa vingine vilivyobaki
Ujenzi wa madarasa unaendelea
Ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa katika S/M Chidya vyenye thamani ya shilingi milioni 80,000,000/= kupitia fedha za programu ya lipa kulingana na matokeo EP4R
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa