Ujenzi wa matundu Nane ya vyoo katika zahanati ya Nanganga ambao uko katika hatua za umaliziaji vitakapokamilika vitagarimu kiasi cha shilingi millioni 21 chanzo cha fedha ni Mradi wa Swash.
ujenzi wa choo matundu mawili kwa ajili ya matumizi ya Watumishi wa Zahanati ambao uko katika hatua za umaliziaji.
Muonekano wa ndani wa ujenzi wa vyoo unaoendelea katika zahanati ya Nanganga .
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa