Ujenzi wa vyumba vine vya madarasa katika S/M Nairombo vyenye thamani ya shilingi milioni 60,000,000/= kupitia fedha za program ya lipa kulingana na matokeo P4R
Katika mradi huu shule imefanikiwa kuokoa Tshs 1,040,000/= ambazo zitatumika kuanzisha ujenzi wa ofisi ya walimu ikiwa ni pamoja na vifaa vingine vilivobaki.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa