MRADI WA UPANUZI WA KITUO CHA AFYA NAGAGA.
Katika kuboresha huduma za afya kwa wananchi, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi inafanya utekelezaji wa mradi wa upanuzi wa kituo cha afya Nagaga kwa kujenga majengo matano ikiwemo wodi ya akinamama wajawazito na watoto, maabara, chumba cha kuhifadhia maiti, chumba cha upasuaji na nyumba ya nyumba ya mtumishi.
Mradi huu utagharimu shilingi milioni 400, utekelezaji wake umeanza mwezi januari 2018 na utamaizika aprili 2018.
Mradi uko 40% ambapo majengo yote yapo hatua tofauti tofauti za ujenzi, wananchi wanashiriki kwa kiasi kikubwa kuhakikisha mradi unatekelezwa kwa muda uliopangwa.
Jengo la upasuaji linalojengwa katika Kituo cha Afya Nagaga
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa