Serikali kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknologia imetoa kiasi cha fedha shilingi 1,416,866,066/= kwa ajili ya ujenzi mpya wa shule ya msingi LUKULEDI MAALUMU iliyopo katika kata ya Lukuledi, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi ikiwa na lengo la kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji kwa kuhakikisha kuwa kundi hili la wanafunzi wenye mahitaji Maalumu wanapata Elimu bora na yenye tija kwao, kutokana na kiasi hicho cha fedha kilichotolewa serikali inajenga miundombinu mbalimbali kwenye shule hiyo huku ujenzi ukiendelea kushika kasi ikiwemo.
1.Jengo la utawala moja
2.Madarasa kumu na mbili pamoja na samani zake,
3.Mabweni manne pamoja na samani zake.
4.Bwalo la chakula na Jiko
5.Nyumba za watumishi nne
6.Nyumba ya Mkuu wa chuo
7.Tanuru la taka.
8.Vyoo matundu tisa
9.Resource room
10.Chumba cha upimaji
11.Karakana ya magari na upishi
12.Karakana ya umeme na useremala
13.Karakana ya ushonaji na saluni.
Jengo la Resource ( Resources Room)
Jengo la Utawala
Vyumba vya madarasa
Bweni la wasichana
Bweni la wavulana
Nyumba za mwalimu
Bwalo la Chakula
Jengo la upimaji usikivu
Jengo la karakana
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa