MRADI WA CHIPANGO - MKALIWATA
Mradi wa maji CHIPINGO MKALIWATA ni kati ya miradi ya muda mrefu (mradi kiporo)
Mradi wa maji wa CHIPINGO -MKALIWATA katika Kata mbili wenye thamani ya shilingi bilioni 2.7 na unategemea kunufaisha watu 17420 katika vijiji 8 ndani ya Kata hizo mbili ambapo cha maji katika mradi huo ni mto Ruvuma.
utelezaji wa mradi huu hadi sasa upo asilimia 70 ambapo ujenzi wa matenki mawili yenye ujazo wa lita 100,000,ukarabati wa tanki 1 lenye ujazo wa lita 25,000, ujenzi wa vituo 38 vya kuchote maji, ulazaji wa bomba kubwa kilimita 12 na dogo kilomita 9 umekamilika na ujenzi wa chanzo unaendelea.
ujenzi wa chanzo katika mradi wa maji CHIPANGO -MKALIWATA
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa