MRADI WA UJENZI WA MBWENI, VYUMBA VYA MADARASA, MAABARA YA JIOGRAFIA NA JENGO LA UTAWALA KATIKA SHULE YA SEKONDARI NDWIKA
Gharama kuu za Mradi ni shilingi 408,000,000/= ambapo ujenzi wa mabweni mawili ni shilingi 150,000,000/=, ujenzi wa vyumba 7 vya madarasa shilingi 140,000,000/=, ujenzi wa maabara ya Jiografia shilingi 50,000,000/= na ujenzi wa jengo la utawala ni shilingi 60,000,000/=. Fedha hizo ni kutoka Serikali Kuu kupitia Mradi wa EP4R na thamani ya nguvu za Wananchi ni shilingi 8,000,000/=. Hadi hatua hii ya Ujenzi tayari mradi umetumia kiasi cha shilingi 370,225,000/= kwa mchanganuo wa ujenzi wa mabweni mawili shilingi 169,633,365/=, ujenzi wa vyumba 7 vya madarasa shilingi 115,613,275.58, ujenzi wa maabara ya Jiografia shilingi 35,289,688.08 na ujenzi wa jengo la utawala ni shilingi 49,688,671.31.
Jengo la vyumba vinne vya madarasa
Jengo la vyumba vitatu vya madarasa
Jengo la Maabara ya Jiografia
Bweni namba Moja
Bweni namba mbili
Jengo la utawala
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa