Mradi wa ujenzi wao wodi ya kina mama wajawazito na watoto ulianza kutekelezwa mwezi januari 2017 ukiwa na thamani ya shilingi milioni 106, mradi huu kwa mwaka 2017 umekamilika na utaanza kutumika mara moja baada ya vifaa vya hospitali vitakapowekwa kwa ukamilifu
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa