• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WASIMAMIZI WA ZAHANATI 12 ZILIZOFUNGIWA VIFAA VYA UMEME JUA, WAPEWA MAFUNZO YA UTUNZAJI WAKE

Posted on: June 18th, 2018

Wasimamizi wa vituo 12 vya kutolea huduma za afya na viongozi wa ngazi ya wilaya ya Masasi wametakiwa kuzingatia mambo  muhimu katika  utumiaji na utunzaji wa vifaa vya umeme Nuru( solar Power)  vilivyofungwa kwenye maeneo yao   ili viweze kudumu kwa muda mrefu lakini pia kutosababisha  majanga ya moto yanatokanayo na umeme.

washiriki wakifuatilia mafunzo ya namna ya kutumza mifumo ya sola 

Maelekezo   hayo ya  namna utunzaji na utumiaji wa vifaa ya umeme nuru yametolewa  leo wakati wa Mafunzo   ya  utumiaji na utunzaji wa mfumo wa umeme nuru katika zahanati na hosipitali  zao lengo ikiwa ni kupata uelewa wa mambo ya kuzingatia wakati wa matumizi ya mfumo huo ili iweze kudumu na hivyo kufanikisha lengo husika la kuboresha huduma za afya.

Akiongea wakati wa kutoa  mafunzo  hayo leo  katibu Mtendaji wa  taasisi  ya Tanzania Renewable Energy Association (TAREA) Eng. Matthew Matimbwi amesema kuwa mafunzo hayo yanalenga kuwajengea uwezo wasimamizi wa vituo na viongozi wa wilaya  ili waweze kusimamia  namna ya kutumia  vifaa vya  umeme nuru kwa kufuata masharti ikiwemo kuhakisha sola zinawekwa kwenye jua na sio kivulini na kutumia kwa matumizi sahihi.

Module (Solar Pannel)  ikiwa imewekwa eneo lenye jua

Eng. Matimbwi  amesema kuwa kuna baadhi ya watumiaji wanashika vifaa wakiwa na mikono yenye unyevu, kuweka vifaa vya chuma kwenye betri na kutumia vifaa vingi vya umeme tofauti na uwezo wa  vifaa vya sola hali inayopelekea vifaa hivyo kuharibika mapema, hivyo mafunzo hayo yatawapa uelewa wa namna  bora na sahihi ya kutumia vifaa vya umeme nuru  

washiriki wakifuatilia mafunzo ya namna ya kutumza mifumo ya sola 

“ Vifaa vyote vilivyotengenezwa kwa nia ya kuzalisha joto kama pasi , mjiko,birika,kichemsha maji nk. Havitakiwi kutumia meme kutoa mfumo wa umeme nuru” alisema  Eng. Matimbwi.


Kwa upande wake Mratibu wa Mahusiano kati ya  Wilaya ya Masasi na Enzkreis ya Ujerumani ndugu Jeremiah Lubeleje amesema kuwa Halmashauri zimeamua kuendesha mafunzo hayo kwa wasimamizi ili waweze kuelewa namna bora ya kutumia vifaa hivyo vya umeme Nuru ili viweze kudumu kwa muda mrafu baada ya wenzentu wa enzkreis kutuwezesha vifaa hivyo.  

washiriki wakifuatilia mafunzo ya namna ya kutumza mifumo ya sola kwa kusoma kipeperushi kinachoelezea ushirikiano kati ya Masasi na Enzkreis 

Lubeleje amesema kuwa , kuna miradi mingi ya serikali inakufa kutokana na kukosa usimamizi wa karibu kwa watumiaji wa mradi, kwa mradi huo tunataka wazimamizi wa vituo waelewe nini cha kufanya wakati wa matumzi wa vifaa vya umeme  huo kuanzia usafi, namna ya kuchaji na kutumia kulingana na maelekezo.

Ushirikiano kati ya Masasi na Enzkreis ulianza mwaka 2011 kupitia mradi wa mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi ambapo miradi ya uwekaji wa  umeme Nuru katika vituo vya afya 27 na nyumba za watumishi 51 umefanyika  lengo ikiwa ni kuboreshaa mazingira ya utoaji wa huduma za afya hata nyakati za usiku.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI NA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO ILI KUFANIKISHA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 15, 2025
  • WATAALAMU MASASI DC WAPATIWA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA UJIBUJI HOJA ZA CAG.

    May 11, 2025
  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA III (JAN -MACHI 2025) INAYOTEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    May 06, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa