Wananchi Wilayani Masasi wameombwa kujitokeza kwa wingi katika mapokezi ya mbio za Mwenge wa uhuru unaotarajiwa kupokelewa katika ngazi ya Wilaya hiyo ifikapo june 05/2024 huku mkesha utafanyika katika Uwanja wa mpira wa miguu katika Kijijini Cha Chiungutwa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa