Baada ya zoezi la uandikishaji wa orodha ya wapiga kura kuhitimishwa Jana tarehe 20/10/2024, Leo tarehe 21/10/2024 Wananchi wameanza kujitokeza kuhakiki taarifa zao za uandikishaji kwenye vituo vyao walivyojiandikishia kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Nov 27,2024.
Kwa mujibu wa taarifa zoezi hilo la uhakiki taarifa zao litadumu kwa muda wa siku Saba,yaani kuanzia Leo 21-27oktoba.2024
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa