• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WANAFUNZI WAFANYA VURUGU KISA WALIMU WANAFUNDISHA MNO.

Posted on: September 7th, 2018

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Chidya iliyoko Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara wamefanya fujo na kusababisha uharibifu wa mali za shule na walimu wakidai  walimu wanawabana sana kwenye masomo wakati wenyewe wanataka uhuru wa kutembea sio kuwa bize na masomo kila wakati.

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Gelasius Byakanwa akiwa na viongozi wengine wakitembelea madhara yaliyojitokeza wakati  fujo zilizofanywa na wanafunzi shule ya sekondari ya chidya

Katika vurugu hizo wanafunzi walichoma pikipiki mbili, kuharibu vitu vyote ikiwemo tv, vitanda na vyombo vingine  kwenye nyumba ya mwalimu wa taaluma pamoja na kuiba kuku 20 za mwalimu.


Kutokana na Vurugu hizo, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Gelasius Byakanwa aliyefika shuleni hapo kujionea hali halisi, alieleza kuwa sababu iliyowafanya wananfunzi hao kufanya fujo inaonesha hawajitambui kabisa maana serikali itajitahidi kuboresha mazingira ikiwemo ujenzi wa miundombinu na kuleta walimu lakini cha kushangaza wanasema wanafundishwa mno, ni jambo la ajabu sana.

Moja ya vifaa vilivyoharibiwa kwenye nyumba ya mwalimu


Akizungumza na uongozi wa shule hiyo pamoja na wanafunzi hao, Byakanwa  alisema hatua za uchunguzi zinaendela na atakayekuwa amehusika kwa namna moja au nyingine hatua za kisheria zitachukuliwa ili iwe fundisho kwa wanafunzi wengine maana hatutawavumila wanafunzi wenye utovu wa nidhamu kiasi hiki.

Byakanwa aliwaeleza wanafunzi kuwa “Hatuwezi kutengeneza chidya ya wananfunzi wanaotaka kusikilizwa kila jambo hata kama halipo kwenye utaratibu, kama unataka uhuru wa kutokusoma ungebaki nyumbani lakini ukiwa hapa ni kusoma na si vingine na kama kuna tatizo liwasilishwe kwa utaratiibu sio kwa kufanya vurugu”

Byakamwa alisema kuwa “Kwa matokeao ya kidato cha sita mwaka jana hakukuwa na daraja sifuri, lakini hapa chidya naona mnajiandaa kuleta sifuri, sasa kabla hamjautia aibu mkoa wangu mtaondoka nyinyi kwanza”

Aidha Mkuu wa Mkoa amemwagiza Mkuu wa Shule hiyo ndugu Zawadi Mdimbe kuanzisha utaratibu wa kila mwananfunzi kuandika barua ya kuadihi kufuata sheria za shule ikiwemo utaratibu wa kufuata kuwasilisha malalamiko badala ya kufanya furugu ambazo zinasababisha  hasara kwa mali na miundombinu ya  shule.

Mkuu wa shule ya sekondari Chidya Zawadi Mdimbe (wa kwanza kushoto) akitoa maelezo mbele ya viongozi walipotembelea shuleni hapo

Wakati serikali inajitahidi kuleta fedha za  kuboresha mazingira  ya kujifunza na kujifunzia ninyi mnafanya fujo kisa mnabanwa sana kwa kuwa bize na masomo, “ni ujinga ambao hauwezi kuvulimika jaribuni tena mtafutwa shule ili mjaribu ujinga maana elimu muona haifai” alisistiza Byakanwa.

Kwa upande wake Mkuu wa Shule hiyo Zawadi Mdimbe amesema vurugu hizo zilitokea usiku  wa jumamosi ya tarehe 01 septemba 2018 na baada ya fujo wanafunzi 22 hawajarea shuleni mpaka sasa.   

Shule ya sekondari  chidya ilianzishwa mwaka 1923 ni kati ya shule kongwe ambazo serikali imetoa fedha zaidi ya milioni 500 kwa ajili ya ukarabati lengo iiwa ni kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • MSIGWA: MAAFISA HABARI NI SAUTI YA SERIKALI, TANGAZENI MAFANIKIO YA SERIKALI KWENYE MAENEO YENU.

    May 25, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNAKUWA WABUNIFU NA WAZALENDO ILI WANANCHI WAPATE HABARI SAHIHI NA KWA WAKATI.

    May 23, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MASASI DC KWA KISHINDO:WATEMBELEA MIRADI MITANO YENYE THAMANI YA TSH.MILIONI 678,844,040.00

    May 19, 2025
  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa