• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

UWEKEZAJI KATIKA ELIMU, UZINGATIE UTOAJI WA CHAKULA SHULENI

Posted on: June 13th, 2018

Mwenge wa Uhuru ukiwa umewasili Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Katika kijiji cha Mpeta


Mpango wa Elimu bila malipo  kwa elimu ya awali hadi sekondari kidato cha nne inamapa fursa kila mwananfunzi wa kitanzani kupata elimu bila kulipa ada na michango mingine yoyote lakini jukumu la kuhakiksha wanafunzi wanapatiwa  chakula wakiwa shuleni  linapaswa kutekelezwa na wazazi kama njia ya kuwekeza kwenye elimu ambapo wananfunzi wataweza kuwa na nguvu ya kujisomea muda mwingi na hatimaye kuongeza ufaulu.

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa ndugu Charles Francis Kabeho akizindua mpango wa kutoa chakula sheluni katika shule ya sekondari namombwe leo tarehe 13.06.2018 wakati wenge wa uhuru ulipotembelea shuleni hapo

Kauli hiyo imetolewa na kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa ndugu Charles Francis Kabeho wakati alipokuwa akitoa ujumbe wa mwenge wa Uhuru kwa wananchi wa  Halamashauri ya wilaya ya masasi wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru uliokimbizwa leo tarehe 13 juni, 2018 katika Halamashauri  hiyo,   na kusema kuwa ujumbe na kaulimbiu ya mwenge wa uhuru kwa mwaka 2018 unalenga kuwekeza katika elimu kwa maendeleo ya taifa hivyo utoaji wa chakula ni sehemu ya uwekezaji katika elimu.

Kabeho amesema kuwa serikali ya awamu ya tano inawekeza kwenye miundombinu ikiwemo ujenzi wa maabara, madarasa na miundombinu mingingine lakini wananchi wanapasawa kuchangia maendeleo ya elimu kwa kuhakikisha wanafunzi wanapata chakula cha mchana  shuleni ili kuwawezesha kuwa na nguvu za kusoma badala ya kushinda njaa kwa muda mrefu hali ambayo inawafanya kutokuwa makini katika masomo.

“Mtoto  mwenye njaa hawezi kusoma kwa bidii  hivyo ili kuwekeza kwa vitendo katika elimu ikiwemo kuongeza ufaulu kwa wanafunzi lazima tujiwekee utartibu kama wazazi kuhakikisha wanafunzi ambao ni watoto wenu  kupata chakula wakiwa shuleni kwani huo ni wajibu wenu” alisema Kabeho

Kabeho  amewapongeza wananchi wa kijiji cha namombwe kwa kuelewa  dhana ya elimu bila malipo na kutambua wajibu wao wa kuchangia chakula kwa wanafunzi wanaosoma shule ya sekondari Nambombwe wakati alipotembelea shule hiyo na kuzindua mpango wa utoaji chakula shuleni  kwa kugawa chakula cha mchana kwa wanafunzi  wa shule hiyo na kusema kuwa wanafunzi wanapaswa kuata chakula na mahitaji mengine ya msingi wakiwa shule ikiwemo sale za shule na vifaa vya kujifunzia.

Kwa upande wake Nasra Hamisi wanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Nambombwe  amesema kuwa utoaji wa chakua shuleni unawasasidia wanafunzi kupata muda mwingi wa kujisomea hali ambayo inaongeza ari ya kusoma kwa wanafunzi na hivyo kupelekea  kuongeza kiwango cha ufaulu

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa ndugu Charles Francis Kabehoakiweka jiwe la msingi katika mradi wa upanuzi wa kituo cha afya Nagaga leo tarehe 13.06.2018 wakati Mwenge wa Uhuru ulipotembelea kituoni hapo

Aidha mbio za mwenge wa uhuru katika halmashauri ya wilaya ya masasi  zimeweza kuweka mawe ya msingi katika miradi minne(4) kutoa hundi kwa vikundi vya wananwake na vijana na kuzindua clabu ya wapinga Rushwa shule ya sekondari Namombwe yenye  thamani ya shilingi shilingi  bilioni 2,406,699,000 na kupongeza utekelezaji wa miradi ya ujenzi ambayo imezingatia viwango na ubora.


Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa ndugu Charles Francis Kabehoakiweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa miundombinu shule ya wasichana Ndwika  leo tarehe 13.06.2018 wakati Mwenge wa Uhuru ulipotembelea shuleni hapo

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • MSIGWA: MAAFISA HABARI NI SAUTI YA SERIKALI, TANGAZENI MAFANIKIO YA SERIKALI KWENYE MAENEO YENU.

    May 25, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNAKUWA WABUNIFU NA WAZALENDO ILI WANANCHI WAPATE HABARI SAHIHI NA KWA WAKATI.

    May 23, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MASASI DC KWA KISHINDO:WATEMBELEA MIRADI MITANO YENYE THAMANI YA TSH.MILIONI 678,844,040.00

    May 19, 2025
  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa