PIchani ni Afisa Afya Mazingira kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Bw.Said Ame akitoa maelekezo namna kutumia kifaa chenye mfano wa sinki ili kuendelea kutunza Mazingira na hususani katika eneo la choo.
"Hiki ni choo, na hili ni Sinki la plastiki (Smart Toilet ) hiki kifaa kinafanya kazi mbadala wa sinki.Hii inatumika kwa aina ya vyoo vyote iwe choo cha shimo au choo cha maji( kuflashi)"
"Faida zake ni kwamba kimeundwa kwa usafi wa asilimia 100% na rahisi kusafisha, hutumia ufyonzaji wa harufu , kuzuia wadudu mathalani mbu, mende kusambaa chooni".
Nb: Sink hizo zinapatikana katika Ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa