Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wananchi kuanza kuhakiki majina Yao kwenye vituo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku Zoezi hilo amesema litadumu kwa Siku Saba.
Amesema "orodha ya wapiga kura tayari imeanza kubandikwa kuanzia Leo,ambapo Wananchi wanaombwa kufika kwenye vituo walivyojiandikisha ili kuhakiki taarifa zao kama kuna mahali zimekosewa, na Zoezi hili litaenda kwa muda wa siku saba kuanzia Leo tarehe 21-27, Oktoba 2024.
21/10/2024
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa