• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC MTWARA AFANYA ZIARA MASASI YA KUKUTANA NA WANANCHI

Posted on: December 23rd, 2020

Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara GELASIUS BYAKANWA  leo tarehe 23.12.2020 alitembelea Masasi katika Halmashauri ya Mji Masasi pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya masasi na kupata fursa ya kutembelea tarafa ya Lisekese katika kata ya Namatutwe pamoja na kata ya Nanjota na kufanya Mkutano na wananchi juu ya maendeleo na utekelezaji wa kampeni yake aliyoiyanzisha hivi karibuni yenye kaulimbiu ijulikanayo kama KAMPENI YA ONDOA MAPORI ONGEZA UZALISHAJI WILAYA YA MASASI na kupokea taarifa ya wilaya na Halmashauri kwa ujumla ambayo ilisema,

 Wilaya ya Masasi ina jumla ya hekta 280,696 zinazofaa kwa kilimo ambapo kati ya hizo Halmshauri ya Wilaya ina hekta 280,468.5  zinazolimwa kwa sasa ni hekta 184,935.5 sawa na asilimia 65.93. Halmashauri ya mji ina eneo linalofaa kwa kilimo lipatalo hekta 227.5 na zinazolimwa kwa sasa ni hekta 90 sawa na  asilimia 40. Mazao ya kipaumbele ya biashara ni korosho, ufuta, alizeti, mbaazi, karanga na choroko. Aidha mazao ya chakula ni muhogo, mahindi, mpunga, mtama na mboga mboga.

Wilaya ya Masasi inakadiriwa kuwa na miti ya mikorosho ipatayo 4,868,365 ambapo Halmashauri ya Wilaya ina mikorosho 4,044,002 na Mji ina mikorosho ipatayo 824,363 

Uzalishaji wa korosho umeendelea kushuka kwa takribani miaka mitatu kuanzia msimu wa 2017/2018 hadi 2020/2021. Hata hivyo uzalishaji wa ufuta umeendelea kuongezeka kuanzia msimu wa 2018/2019. Pamoja na ongezeko hilo la uzalishaji, Wilaya ya Masasi imejipanga kuongeza uzalishaji kwa kuendelea kutao hamasa kupitia mikutano mbalimbali, vikundi na mkulima mmoja mmoja kwa kuanzisha mashamba mapya yenye kufuata kanuni bora za kilimo.

Mtaalamu wa kilimo kutoka Taasisi ya kilimo ya Naliendele Mkoani Mtwara akiwaonyesha na kutoa Elimu kwa wananchi namna bora ya kukata mikorosho iliyozeeka kwa lengo la kubebesha mikorosho ya kisasa ambayo itawaleatea tija zaidi na kuinua kipato cha WANANCHI.

Sikiliza hotuba kamili ya mkuu wa Mkoa wa mtwara kwenye link hapo chini 


Wananchi wakiwa wamekusanyika wakifuatilia kwa ukaribu namna miti mizee ya mikorosho inavyoweza kukatwa kwa kutumia cheinisoo na kuendelea kupata Elimu ya namna bora ya kubebesha mikorosho mipya kwa njia ya kisasa ikiwa na lengo la kuongeza uzalishaji na kuondokana na kilimo cha mazoea.

Kwa taarifa zaidi unaweza kupakua taarifa ya Wilaya, Taarifa ya kata ya Namatutwe, na taarifa ya kata ya Nanjota pamoja na hotuba ya mkuu wa mkoa kwa njia ya sauti

TAARIFA YA WILAYA2020 kampeni mapori.pdf

TAARIFA YA KATA YA Nanjota.pdf

TAARIFA YA KATA YA Namatutwe..pdf

http://www.masasidc.go.tz/storage/app/media/AUDIO%20HOTUBA%20MKUU%20WA%20MKOA.mp4




Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • MSIGWA: MAAFISA HABARI NI SAUTI YA SERIKALI, TANGAZENI MAFANIKIO YA SERIKALI KWENYE MAENEO YENU.

    May 25, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNAKUWA WABUNIFU NA WAZALENDO ILI WANANCHI WAPATE HABARI SAHIHI NA KWA WAKATI.

    May 23, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MASASI DC KWA KISHINDO:WATEMBELEA MIRADI MITANO YENYE THAMANI YA TSH.MILIONI 678,844,040.00

    May 19, 2025
  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa