Kiswahili
  • English
  • Kiswahili
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

PS3+ YATOA MAFUNZO KWA WAKUU WA IDARA NA VITENGO PAMOJA NA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI

Posted on: June 26th, 2021

Dr.Paul Amanieli Chikira aliyesimama kulia ambae ni Mshauri katika masuala ya utawala bora na ushirikishwaji wa wananchi kwa kanda ya kusini akitoa mafunzo kwa watendaji wa kata na Vijiji Serikali kupitia ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na mradi wa uimarishaji mifumo ya sekta za Umma ujulikanao kwa Kiingereza kama Public Sector Systems Strengthening, (PS3+) katika awamu ya pili.

Serikali kupitia ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na mradi wa uimarishaji mifumo ya sekta za Umma ujulikanao kwa Kiingereza kama Public Sector Systems Strengthening, (PS3+) katika awamu ya pili unaofadhiliwa na shirika la mandeleo ya kimataifa la marekani (USAID) imetoa mafunzo kwa wakuu wa idara na vitengo pamoja na watendaji wa kata na vijiji wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi katika ukumbi wa mikutano uliopo mbuyuni.

Akizindua semina hiyo Dr.Paul Amanieli Chikira ambae ni Mshauri katika masuala ya utawala bora na ushirikishwaji wa wananchi kwa kanda ya kusini alisema lengo la mafunzo hayo ni kuwawezesha watendaji kuweza kutekeleza afua zinazohusu ushirikishwaji wa wananchi katika masuala mbalimbali ya utawala bora, mipango na bajeti katika ngazi mbalimbali hivyo kupitia mafunzo haya alisema yataweza kuwajengea uwezo watumishi wa ngazi zote kufanya kazi zao vizuri kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa na serikali pamoja na kuwatumikia wananchi wa ngazi za chini kwa weledi

Pia amesisitiza juu ya matumizi ya Redio jamii,Tovuti na vyombo vingine vya mawasiliano vinavyopatikana katika maeneo yetu  vitumike ipasavyo katika kuhabarisha umma juu ya matukio na masuala mbalimbali ya kiuchumi, kijamii na kisiasa pia ndani ya Halmashauri yetu

Mwezeshaji Peter Mushi Afisa Maendeleo ya jamii akitoa neno kwa wahiriki wa mafunzo ambao ni watendaji wa kata na Vijiji katika semina iliyoandaliwa na Serikali kupitia ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na mradi wa uimarishaji mifumo ya sekta za Umma (PS3+) katika awamu ya pili.

Washiriki wa semina iliyoandaliwa na ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na mradi wa uimarishaji mifumo ya sekta za Umma ujulikanao kwa Kiingereza kama Public Sector Systems Strengthening, (PS3+) kutoka kata na vijiji mbalimbali katika Halmashauri ya wilaya ya Masasi wakiwa makini kumsikiliza mwezeshaji katika ukumbi wa mikutano uliopo Mbuyuni.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • WATAALAMU MASASI DC WAPATIWA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA UJIBUJI HOJA ZA CAG.

    May 11, 2025
  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA III (JAN -MACHI 2025) INAYOTEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    May 06, 2025
  • PPRA YATOA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA NeST NA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI

    March 12, 2025
  • KAMATI YA SIASA YA CCM WILAYA YA MASASI YAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    March 06, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa