• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MWENGE WA UHURU WAWASILI MKOANI MTWARA LEO JUNI 11,2018

Posted on: June 11th, 2018

Mwenge wa Uhuru umepokelewa leo Juni  11, 2018  Mkoa wa Mtwara  katika kijiji cha Lumesule wilayani Nanyumbu ukitokea Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma ambapo utakimbizwa katika Wilaya 5 zenye Halmashauri 9, Mwenge  huo wa Uhuru ukiwa Mtwara  utakimbizwa kwa urefu wa kilomita 943 na kupitia miradi yenye thamani ya shilingi bilioni 29,571,290,632.

Timu ya Mkoa wa Mtwara wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara mhe Gerasius Byakanwa ( wa tano kutoka kushoto) wakiwa tayari kupokea Mwenge wa Uhuru katika kijiji cha Lumesule wilaya ya Nanyumbu leo tarehe 11 Juni, 2018

Akisoma taarifa ya mapokezi ya Mwenge  wa Uhuru  mbele ya kiongozi wa mbio za Mwenge Uhuru  kitaifa ndugu Charle Francis Kabeho Mkuu wa mkoa wa mtwara Mhe. Gerasius Byakanwa alifafanua kuwa katika miradi hiyo ya maendeleo itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2018 , wananchi wamechangia shilingi  594,290,632 , Halmashauri 2,283,201,433 ,Serikali Kuu 18,299,199,929  na Wahisani 8,399,827,800.

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara mhe Gerasius Byakanwa akikabidhi mwenye wa uhuru kwa mkuu wa wilaya ya Nanyumbu tayari kwa kuanza kuukimbiza

Pia Byakanwa amesema  kuwa Mwenge wa Uhuru ukiwa mkoani Mtwara utapitia miradi 76 ya maendeleo ambapo miradi  28, itawekewa mawe ya msingi, miradi 11 itazinduliwa ,10 itafunguliwa na 27 itaonwa na kukaguliwa.

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara mhe Gerasius Byakanwa  akisoma taarifa ya mapokezi ya mwenge wa Uhuru mbele ya kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa ndugu Charle Francis Kabeho (aliyevaa skafu)

Byakanwa ameeleza kuwa ,  “ni matarajio yangu kuwa mbio za mwenge wa uhuru kwa mwaka 2018 zitahamasisha wananchi  kuwekeza katika elimu  kama  ujumbe na kaulimbiu ya Mwenge wa Uhuru wa mwaka  huu 2018 unaosema, Uwekezaji katika elimu, elimu ni ufunguo wa maisha, wekeza sasa kwa maendeleo ya taifa letu”  kwani maendeleo katika sekta ya elimu yatafanikiwa ikiwa wananchi wataelewa na kuwekeza katika miundombinu na chakula kwa wanafunzi badala ya kuiachia serikali pekee.

 

Baada ya  kupokelewa Mwenge wa Uhuru  kimkoa, umeanza kukimbizwa katika Wilaya ya Nanyumbu. ambapo Halmashauri ya Wilaya ya Masasi utakimbizwa tarehe 13 Juni 2018




Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI NA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO ILI KUFANIKISHA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 15, 2025
  • WATAALAMU MASASI DC WAPATIWA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA UJIBUJI HOJA ZA CAG.

    May 11, 2025
  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA III (JAN -MACHI 2025) INAYOTEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    May 06, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa