• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MASASI DC KWA KISHINDO:WATEMBELEA MIRADI MITANO YENYE THAMANI YA TSH.MILIONI 678,844,040.00

Posted on: May 19th, 2025

Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025 leo tarehe 19/05/2025 Umetembelea jumla ya Miradi mitano (5) yenye thamani ya Shilingi Milioni 678,844,040.00 katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara.

Kati ya miradi hiyo, mradi mmoja (1) umewekewa jiwe la msingi, mradi mmoja (1) umefunguliwa, mradi mmoja (1) umezinduliwa na miradi miwili (2) imekaguliwa, kuonwa na kupata taarifa.

Mwenge huo ambao umekimbizwa umbali wa kilomita 104.1 umepita katika Vijiji 21, Kata 6 na Tarafa 2.

Moja ya Miradi ambayo umefunguliwa na Mwenge wa Uhuru katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi ni Mradi wa Jengo la Mionzi la Kituo cha Afya Chiwale (X- ray) ambapo Halmashauri kupitia Mapato yake ya ndani ilitoa fedha kwa awamu nne  ambapo awamu ya kwanza ni Shilingi Milioni 50,000.000.00 tarehe 01/02/2024, awamu ya pili ni Tsh.milioni 50,000,000.00 tarehe 19/09/2024, awamu ya tatu Tsh.milioni 30,000,000.00 tarehe 12/11/2025 na awamu ya nne Tsh.milioni 15,000,000.00 tarehe 14/02/2025.

Mradi mwingine ambao umezinduliwa na Mwenge huo ni Jengo la Elimu ya Awali Shule ya Msingi Chikukwe, lenye vyumba 2 vya Madarasa na matundu ya vyoo sita, ambapo Serikali imetoa kiasi cha Tshs Milioni 67,300.000.00 huku nguvu za Wananchi ni Shilingi Milioni 300,000.00 ( kuchimba msingi na kusogeza tofali eneo pa ujenzi).

Uwekaji jiwe la Msingi umehusisha Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Nazareti- Pachani (0.8 km) kwa  kiwango cha lami Kata ya Chiwale, ambapo umeendelea kutoa ajira kwa Viķundi maalumu vya akina mama, mama lishe na Vijana, vilevile mradi huu ukikamilika utapunguza gharama za matengenezo ya barabara zilizokua zikutumika kila mwaka.

Aidha mradi huu unatekelezwa kwa fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo na mkandarasi mzawa,  ambapo gharama ya mradi huu ni Tsh.milioni 450,569,750.00 hadi kukamilika kwake.

Mradi mwingine ulioonwa na kukaguliwa ni Shamba  la miti Ndanda pamoja na kuona na kukagua shughuli za Vijana za ufyatuaji tofali za Kikundi cha Mashujaa- Tuungane.

Mwenge wa Uhuru pia umeona na Kukagua shughuli za Uchaguzi Mkuu, Kongamano la Vijana, Kuona na Kukagua banda la Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI, Malaria na dawa za kulevya, kuona na kukagua banda la afua za lishe, kuona na kukagua shughuli za Mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili wa Kijinsia,Risala ya utii, ujumbe wa Mwenge wa Uhuru na mkesha.


19/ 05/ 2025

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • MSIGWA: MAAFISA HABARI NI SAUTI YA SERIKALI, TANGAZENI MAFANIKIO YA SERIKALI KWENYE MAENEO YENU.

    May 25, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNAKUWA WABUNIFU NA WAZALENDO ILI WANANCHI WAPATE HABARI SAHIHI NA KWA WAKATI.

    May 23, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MASASI DC KWA KISHINDO:WATEMBELEA MIRADI MITANO YENYE THAMANI YA TSH.MILIONI 678,844,040.00

    May 19, 2025
  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa