• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MIKOPO MTAKAYOPATIWA ITUMIKE KWA MALENGO MAHUSUSI:BW.RASHID NJOZI

Posted on: November 17th, 2024

Jumla ya Vikundi vya wajasiriamali 60 vya Wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu Halmashauri ya Wilaya Masasi Mkoani Mtwara wanatarajia kunufaika na mkopo usio na riba  wa tshs. Milioni 700 kupitia asilimia 10% ya mapato yake ya ndani huku Lengo kubwa ni kuviwezesha Vikundi hivyo ili viweze kujiajiri kupitia Shughuli zao za kiuchumi.


 Akizungumza katika mahojiano maalumu na kitengo Cha habari na  mawasiliano Serikalini Halmashauri ya Wilaya Masasi, Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii ya Halmashauri hiyo Bw.Rashidi Njozi Mussa amesema kwamba mpaka sasa tayari jumla ya vikundi ambavyo vimefanikiwa kuingiza maombi ya mikopo kwenye mfumo vipo Vikundi 60 vyenye thamani ya shilingi Milioni 700, na Kwa wale ambao tayari wameshaomba wamewaandikia Watendaji wa kata kwa ajili ya kuanza kuchambua maombi hayo kwenye kata zao na hatmaye wawaletee wao ngazi ya Halmashauri nao wachambue maombi hayo.

Amesema "tunatamani kabla ya tarehe 30/11/2024 Vikundi vile ambavyo vitakuwa vimekidhi mahitaji yanayotakiwa kunzia ngazi ya kata, Halmashauri pamoja na ile Kamati ya uhakiki ya Wilaya, tuwe tumewapatia mikopo ili waendelee na shughuli zao, lakini Cha msingi vikundi hivi sasa ambavyo tutavikopesha viende vikafanye shughuli iliyokusudiwa na kama kutakuwa na mabadiliko ya mradi basi ni vyema muwasiliane na Ofisi ya Maendeleo ya Jamii ili kujua ni nini kinatakiwa kufanyika, sio mtu anajiamlia tu kwasababu wakija wakaguzi kukagua watasema ni miradi hewa kumbe kuna mtu anajiamlia na kujitengenezea mradi wake"..alisema Bw.Njozi


Aidha Bw.Njozi ameendelea kuelezea kwamba kwa wale wote watakaokopa na ambao wengine tayari walikopa katika siku za nyuma na bado wanadaiwa  watambue kuwa Sheria ipo ambayo inawabana wakopaji na wakati mwingine inapelekea kuchukua hata vile vitu walivyokopa mfano pikipiki ili kuwashinikiza walipe, hivyo ili kuepuka kufikia hatua hiyo mkopaji anatakiwa kutii sheria bila shuruti kwasababu mwishowe kupitia sheria ndogo ya fedha ya mwaka 2018- 2019 inawaelekeza mkopaji akishindwa kurehesha mkopo impeleke mahakamani.


"Nasisitiza baada ya kupata mikopo hii tuwekeze kwenye biashara za kiuchumi na tukumbuke kufanya marejesho ili kuwapa fursa watu wengine wapate mikopo hiyo nayo iwasaidie kiuchumi".


Hata hivyo ifahamike kuwa kwa mujibu wa muongozo vipo viwango mbalimbali vya kukopa ikwemo kikundi kinaweza kukopa fedha kuanzia shilingi laki tano hadi shilingi Milioni 10, kundi la pili linaweza kukopa Shilingi Milioni 10 hadi shilingi Milioni 50, na kundi la tatu wanaweza kukopa Shilingi Milioni 50 hadi shilingi Milioni 150.


@masasidc

17/11/2024

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI NA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO ILI KUFANIKISHA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 15, 2025
  • WATAALAMU MASASI DC WAPATIWA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA UJIBUJI HOJA ZA CAG.

    May 11, 2025
  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA III (JAN -MACHI 2025) INAYOTEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    May 06, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa