• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MASASI YANG'ARA, UMISSETA KIMKOA 2018

Posted on: June 4th, 2018

 MASASI  YANG’ARA, UMISSETA KIMKOA 2018

Halmashauri  ya Wilaya ya Masasi  mkoani mtwara imefanikiwa kuga’ra katika mashindano ya michezo ya  UMISSETA kimkoa ambapo pamoja na kuwa mshindi wa tatu  wa jumla lakini pia Halmashauri imeweza  kutoa timu  nzima ya mchezo wa volleyball  ngazi ya taifa itakayofanyika kitaifa mkoani mwanza kuanzia tarehe 4 hadi 15 Juni , 2018.  

Hayo yamesemwa  na aliyekuwa mratibu wa UMISSETA kanda ya Masasi-Nanyumbu  ndugu Geofrey Ntandu wakati alipokuwa akimkabidhi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi  Bi Changwa Mkwazu  kombe la ushindi kwa mchezo wa mpira wa miguu kama mshindi wa tatu wa jumla na kueleza kuwa Halmashauri  imefanikiwa kutoa wanafunzi 16 kwa ajili ya timu ya Volleyball wanaoshiriki UMISSETA Kitaifa. 

Ntandu alisema kuwa kwa kanda ya Masasi –Nanyumbu imetoa jumla  wanafunzi 26  kati ya 100  waliochaguliwa kushiriki michezo mbalimbali   katika mashindano ya michezo ya   UMISSETA ngazi ya Taifa itakayofanyika Jijini Mwanza.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi  Bi Changwa M. Mkwazu akiwa ameshika kombe la ushindi ofisini kwake leo baada y kukabidhiwa

Ntandu aliongeza kuwa wanafunzi watakaocheza vizuri katika mashindano hayo ya michezo ya  UMISSETA  watachaguliwa kushiriki michezo katika ngazi ya Afrika mashariki  maarufu kama FEASSA kuliwakilisha Taifa katika michezo mbalimbali.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Bi Changwa M. Mkwazu amewapongeza walimu na wananfunzi kwa kufanikiwa kuwa washindi wa tatu wa jumla na kupata ushindi wa kwanza kwenye mchezo wa mpira wa miguu lakini pia kuwatakia heri katika mashindao yao ya UMISSETA  ngazi ya Taifa.


“Natumai mtarudi na ushindi maana ushindi huu ni ishara nzuri ya mafanikio lakini pia nampongeza kocha wa kituo cha volleyball katika kituo cha Mkalapa  ndugu Gabriel Joshua kwa kuweza kuibua na kuendeleza vipaji  vya wananfunzi katika mchezo huo  maana ni kwa juhudi zake Halmashauri imeweza kuwa na wanafunzi wengi wanaounda timu ya mchezo huo ngazi  Mkoa kutuwakilisha ngazi ya Taifa” alisema Mkwazu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI NA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO ILI KUFANIKISHA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 15, 2025
  • WATAALAMU MASASI DC WAPATIWA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA UJIBUJI HOJA ZA CAG.

    May 11, 2025
  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA III (JAN -MACHI 2025) INAYOTEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    May 06, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa