Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suruhu Hassan ameipatia Halmashauri ya Wilaya ya Masasi jumla ya Shilingi 8,190,999,546/= kwa ajili ya kutekeleza Miradi Mipya ya Maendeleo katika Idara za Elimu Msingi, Sekondari pamoja na Afya kupitia Mpango wa Maendeleo kwa ustawi wa taifa na Mapambano dhidi ya Uviko-19 ili kuona miradi hiyo unaweza kupakua faili hili MIRADI YA MAENDELEO.pdf
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa