• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MASASI DC YAFANYA ZIARA YA KIMAFUNZO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRAMBA -SINGIDA

Posted on: December 3rd, 2024

CHIPUTULA: TUMEKUJA IRAMBA KUJIFUNZA KWA VITENDO NAMNA BORA YA UKUZAJI NA UKUSANYAJI WA MAPATO ILI HALMASHAURI ZETU ZIWE VINARA KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO.


Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara katika kuhakikisha inaongeza nguvu ya kutekeleza miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa Wananchi wake imeanza ziara yake ya kimafunzo katika maeneo mbalimbali ili kujifunza kwa vitendo namna bora ya uzalishaji na usindikaji wa mazao ya alizeti, ufuta, karanga na mbaazi.


Ziara hiyo ya siku Saba ambayo imeanza tangu tarehe 01 /12/2024 pia imelenga pia ujifunzaji na kubadilishana uzoefu kuhusu masoko, ukusanyaji wa ushuru na tozo kutokana na  mazao hayo ya alizeti, ufuta mbaazi na karanga, huku suala la usimamizi na utaratibu wa ukusanyaji wa ushuru na tozo kutokana na madini ya ujenzi nalo limepewa kipaumbele


Katika  Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida ndipo ziara hii imeanzia ambapo waheshimiwa Madiwani wakiambatana na Mkurugenzi Mtendaji Bi.Beatrice Mwunuka, pamoja na wakuu wa Idara na vitengo mbalimbali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Masasi wamejifunza kuhusu upatikanaji wa mbegu, Elimu ya ugani, uandaaji wa mashamba, masoko, viwanda vya kusindika, mnyororo wa thamani wa zao la alizeti, kutembelea Wakulima,  kukutana na Vikundi vya wajasiriamali wa bidhaa zinazotokana na zao la  alizeti pamoja na wajasiriamali wa mafuta.


Mhe.Ibrahimu Chiputula ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi pamoja na kuushukuru Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba kwa mapokezi mazuri na  kuungana nao kwa muda wote pia amesema kwamba "tumekuja hapa Iramba na msafara huu kuja kujifunza Kwa vitendo, Mkurugenzi wetu Bi.Beatrice Mwinuka alituambia tuje Iramba na tumeona ni Kweli vitu vinafanyika, mpo vizuri sana hongereni sana."


Amesema Halmashauri yenye mapato ndio Halmashauri ambayo inakuwa na nguvu ya kutekeleza miradi kwa Wananchi na kuondoa kero za Watanzania hivyo wamefika katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba kuongeza maarifa waliyonayo ili wasonge mbele na nina imani kubwa haya tuliyopata hapa tutakwenda kuyatumia vizuri na Halmashauri yetu itapanda katika suala la mapato "....alisema Chiputula


Kwa upande wake Mhe.Innocent Msangi ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida pamoja na Mambo mengine amemshukuru Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi kwa kuwa na maamuzi ya kufika Iramba kujifunza  ambapo pamoja na mengine wao wamefurahishwa sana kwasababu kitendo hicho kwao Kama Halmashauri kimewaheshimisha  sana na kuonyesha undugu wa dhati.


"Kwakwelii nimejawa na furaha sana kutembelewa Iramba na Halmashauri Nyingine kutoka Mkoa wa Mtwara Masasi ,tangu niwe hapa Kama mwenyekiti sijawahi kupata ugeni Kama huu kwangu ni heshima kubwa, hongera sana Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Halmashauri kwa kuchukua maamuzi haya"


Hata hivyo kesho Tarehe 04/12/2024 ziara hiyo itaendelea katika Wilaya ya Babati Mkoa wa Manyara na kisha kuelekea Chalinze Mkoani Pwani.


03/12/2024

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI NA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO ILI KUFANIKISHA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 15, 2025
  • WATAALAMU MASASI DC WAPATIWA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA UJIBUJI HOJA ZA CAG.

    May 11, 2025
  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA III (JAN -MACHI 2025) INAYOTEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    May 06, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa