Ili viwanda viweze kuendelea katika uzalishaji wa bidhaa mbalilimbali na kuifanya nchi kufikia uchumi wa kati, vijana lazima wapewe elimu zaidi ya namna ya kutumia fursa ya kuwekeza katika kilimo. Mifugo na Uvuvi ili kuwezesha uzalishaji mkubwa wa malighafi ambazo zitatumika katika viwanda hivyo huku wao wakijiongezea uchumi
Mkuu wa wilaya ya masasi mhe. Selemani Mzee akitoa salamu kwa wananchi wakati wa ufunguzi wa maonesho ya NANENANE Kanda ya Kusini 2018 jana tarehe 3 agosti, 2018
Shamba la bora la Mtama katika banda la Halmashauri ya Wilaya ya Masasi katika maonesho ya Nanenane 2018 Katika Viwanja vya Ngongo
Shamba bora la ALIZETI katika banda la Halmashauri ya Wilaya ya Masasi katika maonesho ya Nanenane 2018 Katika Viwanja vya Ngongo
Ng'ombe wa Maziwa katika banda la Halmashauri ya Wilaya ya Masasi katika maonesho ya Nanenane 2018 Katika Viwanja vya Ngongo
Wageni wakiwa kweye hafla ya ufunguzi wa maonesho ya Nanenane Kanda ya Kusini 2018 katika viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa