Mkuu wa Wilaya ya Kondoa mhe.Fatma Nyangasa, akiwa pamoja na Madiwani wa Halmashauri ya Mji na Wilaya ya Kondoa, Wataalamu pamoja na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi, wakiwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi hapo jana tarehe 12/02/2025 wametembelea kijiji cha Lupaso na kuzuru kaburi la Rais wa awamu ya tatu Hayati Benjamin William Mkapa.
Hayati Mkapa alifariki dunia julai 24,2020 jijini Dar Es Salaam na kuzikwa julai 29,2020 katika kijiji cha Lupaso Wilayani hapa.
13/02/2025
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa