• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

HOSPITALI YA WILAYA YA MASASI YAANZA KUTOA HUDUMA

Posted on: July 13th, 2020

HOSPITALI  mpya ya Wilaya ya  Masasi mkoani MTWARA iliyojengwa na serikali  katika kijiji cha Mbuyuni kata ya Mbuyuni kwa gharama  ya zaidi ya bilioni 1.5  imeanza kutoa huduma za matibabu kwa wananchi wa Halmashauri hiyo leo tarehe 13.07.2020  baada ya kukamilika kwa ujenzi wa miundombinu kwa awamu ya kwanza. Tukio hili limeudhuriwa na wananchi wa kata ya mbuyuni, viongozi wa dini viongozi mbalimbali wa serikali.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Masasi Bi Changwa M. Mkwazu wakati wa uzinduzi wa utoaji wa huduma ya Hospitali

Huduma hizo zimezinduliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Bi Changwa M. Mkwazu ameipongeza serikali ya awamu ya Tano kwa kufanikisha ujenzi wa hospitali hiyo akisema itaboresha huduma za afya kwa kiwango kikubwa.

Mkwazu ameeleza kuwa, jumla ya shilingi bilioni 1.5 zimetumika kukamilisha miundombinu na serikali imeongeza jumla ya shilingi milioni 300 kwa ajili ya kumalizia miundombinu ya maji na umeme. “ tunamshukuru mheshimiwa Rais kwa kutuletea fedha za ujenzi wa hospitali ya wilaya na leo watu wanaanza kupata huduma”

Aidha Mkwazu, amewashukuru wananchi wa kata ya mbuyuni kwa kutoa ardhi yao bure kwa ajili ya ujenzi wa hospitali lakini pia ushiriki wao kwa muda wote wa utekelezaji wa Mradi “asanteni sana”

 Akiongea kwa niaba ya wananchi wa Mbuyuni, mwenyekiti wa kijiji cha mbuyuni alisema kuwa “ tunaishukuru serikali ya awamu ya Tano kwa ufanikisha ujenzi wa hospitali ya wilaya katika kijiji chetu, “ si ni jambo kubwa kulala na zahanati na kuamka na hospitali ya Halmashauri, salamu zimfikie Mhe Rais na viongozi wote kwa kazi iliyotukuka”

 Katika kipindi cha Serikali ya awamu ya  tano  Halmashauri ya wilaya ya masasi imefanikiwa kujenga Hospitali moja, vituo vya afya viwili, ujenzi wa wodi ya wazazi katika kituo cha Afya Chiwale na uboreshaji wa Zahanati mbalimbali


wananchi wa Mbuyuni wakati wa uzinduzi wa utoaji wa Huduma katika Hospitali ya halmashauri leo tarehe 13.07.2020

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • MSIGWA: MAAFISA HABARI NI SAUTI YA SERIKALI, TANGAZENI MAFANIKIO YA SERIKALI KWENYE MAENEO YENU.

    May 25, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNAKUWA WABUNIFU NA WAZALENDO ILI WANANCHI WAPATE HABARI SAHIHI NA KWA WAKATI.

    May 23, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MASASI DC KWA KISHINDO:WATEMBELEA MIRADI MITANO YENYE THAMANI YA TSH.MILIONI 678,844,040.00

    May 19, 2025
  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa