MATUKIO KATIKA PICHA.
Katika picha inamuonyesha Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu Hayati Benjamin William Mkapa, Lupaso, Masasi Mkoani Mtwara leo tarehe 24 Septemba, 2025.
#OKTOBATUNATIKI✅✅
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa