• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

CMT - MASASI DC YATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA TSH.MILIONI 526.45

Posted on: July 9th, 2025

Na.Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini (HW) Masasi.


Timu ya Menejimenti (CMT) ya Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara Leo tarehe 09/07/2025 imefanya Ziara ya Kutembelea na Kukagua Miradi mbalimbali ya Maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri hiyo kupitia fedha kutoka Serikali kuu na Wahisani.

Timu hiyo ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Ndg. Keneth Mgina ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha huduma za Sheria amesema ziara hiyo ni moja ya utaratibu ambao kama  Halmashauri umejiwekea wa mara kwa mara kutembelea Miradi ya Maendeleo pamoja na kubaini zile changamoto ambazo zimejitokeza wakati wa utekelezaji wa Miradi hiyo na hatmaye kuzitatatua kwa wakati.

Akizungumza na Wasimamizi wa Miradi pamoja na baadhi ya Mafundi ujenzi ambao wamewakuta  katika Miradi hiyo wanayoitekeleza, Kaimu huyo amewasisitiza kuongeza jitihada ili wakamilishe Miradi kwa wakati na ubora unaoendana na thamani ya fedha iliyotolewa na hatmaye iweze kuleta tija sambamba na kuzingatia mikataba yao.

Miradi iliyotembelewa ni Ujenzi wa Kituo cha Afya Namajani, Ujenzi na Ukarabati wa Stendi ya Mabasi-Ndanda, Mradi wa Kuendeleza ujenzi wa Soko la kijiji cha Chigugu, Ujenzi wa matundu ya vyoo nane(08) vya Wanafunzi Shule ya Msingi Mwongozo , Mradi wa Choo na Kichomea Taka Zahanati ya kijiji cha Mlingula, Ujenzi wa Darasa moja na Ukamilishaji wa chumba kimoja cha darasa Shule ya Msingi Mpowora, Umaliziaji wa Nyumba ya Mwalimu katika Shule ya Sekondari Mbemba, Ujenzi wa Miundombinu ya maji na usafi katika Zahanati ya Nasindi pamoja na ukamilishaji wa vyumba 4 vya Madarasa Shule shikizi ya Sululu ya leo.

Halmashauri ya Wilaya ya Masasi inaendelea kusimamia utekelezaji wa Miradi ya maendeleo ambayo ipo katika hatua mbalimbali za utekelezai ambapo siku ya kesho tarehe 10/07/2025 ni siku ya pili ya ziara hiyo huku Menejimenti ikitarajia kutembelea na kukagua Miradi kwenye Jimbo la Lulindi.

09/07/2025

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • CMT - MASASI DC YATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA TSH.MILIONI 526.45

    July 09, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI YAMKABIDHI PIKIPIKI MPYA AINA YA SANLG BW.YUSUF SIJAONA KARUME KAMA FIDIA.

    June 26, 2025
  • WATUMISHI WA UMMA WILAYANI MASASI WAPATIWA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA PEPMIS PIPMIS

    June 26, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI LAVUNJWA RASMI.

    June 19, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa