• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

CHIKOROPOLA WAISHUKURU SERIKALI UJENZI WA MAABARA

Posted on: May 7th, 2024

Uongozi wa Shule ya Sekondari ya Chikoropola iliyopo Wilayani Masasi umeishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe.Rais  Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutenga fedha kwa ajili ya uboreshaji wa miundombinu ya Elimu nchini, ikiwemo ya Kata ya Chikoropola katika Shule ya Sekondari.


Aidha, taasisi  hiyo imehaidi kuendelea kuunga mkono jitihada zote za maendeleo kwa kufanya kazi kwa juhudi, maarifa na uzalendo wa hali ya juu.


Mwalimu Daniel James Nyanda ni katibu wa Kamati ya ujenzi Shule ya Sekondari Chikoropola, amesema hayo Jana tarehe 06/05/2024 wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mradi wa umaliziaji wa Maabara ya Kemia katika Shule ya Sekondari Chikoropola mbele ya Kamati ya fedha ya Halmashauri ya Wilaya Masasi mara baada ya kutembelea na kukagua mradi huo.


Amesema Shule ya Sekondari Chikoropola ilipokea fedha (mapato ya ndani) kwa awamu mbili kwaajili ya umaliziaji wa ujenzi wa Maabara ya Kemia, ambapo awamu ya Kwanza ilikuwa ni tarehe 01/07/2023 na kiasi kilichopokelewa kilikuwa ni shilingi milioni 15 (15,000,000/,= na awamu ya pili ilikuwa ni tarehe 01/03/2024 na fedha iliyopokelewa ilikuwa ni shilingi milioni 15 (15,000,000/,= ), juma ni milioni 30 (30,000,000/=).


Ameongeza kuwa Shughuli za umaliziaji wa mradi zilianza rasmi Mwezi Disemba 2023 na mpaka Sasa mradi upo kwenye hatua za mwisho kabisa kukamilika kwani ujenzi umefikia takribani asilimia 95/%,  na Shughuli zingine zinazoendelea ni kuweka tanki na kuunganisha mfumo wa Maji Safi katika Maabara, kumalizia ufunikaji wa mitaro katika Maabara, kujenga chemba ya mitungi ya gesi nyuma ya Maabara, kukamilisha ufungaji wa mfumo wa gesi, utengenezaji wa stuli 40 kwaajili ya Maabara, utengenezaji wa meza na kiti Cha Mwalimu kwenye chumba Cha Maabara na utengenezaji wa kabati la kuhifadhia vifaa vya Maabara na kemikali ndani ya chumba Cha maandalizi.


Nayo Kamati ya fedha ya Halmashauri hiyo ya Wilaya ya Masasi pamoja na kuonyesha  kuridhishwa na hali ya utekelezaji wa umaliziaji wa mradi huo, pia imeielekeza Kamati ya ujenzi kukamilisha kwa wakati Shughuli hizo ambazo zimesalia  ifikapo tarehe 30/05/2024, na kama watabakiwa na pesa basi Halmashauri haitasita kuwaletea fedha zingine kuongeza  kwaajili ya kuendelea kukamilisha mabaara zingine kama vile Maabara ya Bailojia, na Fizikia.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • MSIGWA: MAAFISA HABARI NI SAUTI YA SERIKALI, TANGAZENI MAFANIKIO YA SERIKALI KWENYE MAENEO YENU.

    May 25, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNAKUWA WABUNIFU NA WAZALENDO ILI WANANCHI WAPATE HABARI SAHIHI NA KWA WAKATI.

    May 23, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MASASI DC KWA KISHINDO:WATEMBELEA MIRADI MITANO YENYE THAMANI YA TSH.MILIONI 678,844,040.00

    May 19, 2025
  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa