Wednesday 22nd, January 2025
@Masasi DC
Kila mwaka tarehe 16/6 watoto wote Afrika huadhimisha siku ya mtoto wa afrika ikiwa ni Sehemu ya kumbukumbu ya kuwakumbuka watoto wenzetu waliouawa kikatiri huko Soweto Afrika kusini walipokuwa wakiandamana kwa amani kupinga utawala wa kibaguzi uliokuwa ukiendeshwa na makaburu
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa