Saturday 21st, December 2024
@Mkolopla -Mkundi
Tarehe 5, Juni kila mwaka ni siku ya mazingira duniani ambapo zaidi zaidi ya nchi 100 zinaadhimisha Siku ya Mazingira Duniani lengo ikiwa ni kuhamasisha jamii kuelewa masuala yanayohusu mazingira pamoja na utunzaji wa vyanzo wa maji.
Katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi siku ya mazingira duniani itadhimishwa katika kijiji cha Mkolopola kata ya Mkundi. Wananchi wote mnakaribishwa
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa