Afisa Mwandikishaji wapiga kura wa jimbo la Ndanda na Lulindi anapenda kuwatangazia wananachi wote waliobainishwa kwenye orodha kuwa wameitwa kwenye Usaili wa Kazi za muda za waandikishaji Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa Biometriki(BVR) Kwenye Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Mpiga kura Katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi.
Pakua hapa chini
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa