Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi inapenda kuwataarifu waombaji kazi waliokidhi vigezo kufika kwenye usaili wa nafasi wazi tatu (3) za Mtendaji kijiji daraja la III.
Bofya hapa kuona walioitwa kwenye usaili TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MASASI DC.pdf
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa