Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi inapenda kuwataarifu waombaji waliokidhi vigezo kufika kwenye usaili wa mchujo utakaofanyika tarehe 24/03/2022 saa 4:00 asubuhi katika ukumbi wa Halmashauri (Mbuyuni).
Kwa maelezo zaidi bofya hapa. TANGAZO KUITWA KWENYE USAILI MASASI DC.pdf
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa