TANZIA
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Masasi Beatrice Mwinuka anasikitika kutangaza kifo Cha Mwalimu Mwanahamisi Hamisi Mmwindi aliyekuwa Mwalimu wa Shule ya Sekondari Mpanyani-Masasi Mkoani Mtwara aliyefariki Dunia tarehe 03/07/2024 mchana katika Hospitali ya rufaa Ndanda alipokuwa akipatiwa matibabu ya Uzazi.
Hata hivyo mazishi yanatarajia kufanyika Leo mchana tarehe 04/07/2024 Mtwara mjini nyumbani Kwa Marehemu.
"Sisi sote ni wa Allah na kwake tutarejea"
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa