• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI MASASI WAJENGEANA UWEZO

Posted on: March 28th, 2018

Afisa elimu Halmashauri ya wilaya ya masasi  Elizabeth Mlaponi akiongea na walimu wa shule za Msingi Tarafa ya Lulindi kwene mafunzo ya kujengeana uwezo kwenye masomo ya Sayansi, Hesabu na kiingereza ili kuongeza ufaulu

Walimu za shule za Msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara wameamua kutumia muda wao wa likizo fupi kujengeana uwezo wa mada ngumu kwa masomo ya sayansi, Hisabati na kiingereza lengo ikiwa ni kuongeza ufanisi wa ufundishaji wa masomo hayo na hivyo kuinua ufaulu katika mitihani ya Kitaifa.

Walimu wamefikia hatua hiyo baada ya kuona baadhi ya walimu hawana uwezo wa kufundisha baadhi ya mada kutokana kutokuzielewa vizuri hivyo mafunzo hayo yatawasaidia walimu hao kuwa na uwezo wa kufundisha masomo hayo kwa ufanisi na hivyo kuongeza ufaulu wa masomo hayo.

Akiongea wakati wa mafunzo hayo katika tarafa ya Lulindi wilayani humo, Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Ndugu Elizabeth Mlaponi alisema kuwa mafunzo hayo ni kati mikakati ya kuongeza ufaulu kwa matokeo ya darasa la Nne na la saba kwa mwaka 2018.

Mlaponi alisema kuwa kwa matokeo ya mwaka 2017 masomo ya Kiswahili na maarifa ya jamii ufaulu ulikuwa 50% wakati masomo ya Sayansi, Hisabati na kiingereza ufaulu ulikuwa chini ya asilimia 40 ambapo somo la kiingereza ufaulu ulikuwa chini ikifuatiwa na Hisabati

Matangazo

  • Tangazo la kazi Halmashauri ya Wilaya ya Masasi August 29, 2017
  • TAARIFA YA KUPOKELEWA KWA FEDHA ZA OC KWA MWEZI OKTOBA, 2017 November 23, 2017
  • Tangazo kwa wananchi wa Masasi February 12, 2018
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • MIRADI YA AJIRA YA MUDA INAYOTEKELEZWA NA TASAF YATATUA CHANGAMOTO YA MAJI KIJIJI CHA MWENA

    March 28, 2018
  • WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI MASASI WAJENGEANA UWEZO

    March 28, 2018
  • MKUU WA MKOA MTWARA AWAHIMIZA WANANCHI KUPANDA MITI ILI KUTUNZA MAZINGIRA

    March 16, 2018
  • MILIONI 79 445,000 ZAKOPESHWA KWA WANAWAKE MASASI DC

    March 08, 2018
  • Angalia Zaidi

Video

RC MTWARA AONGEA NA WATUMISHI MASASI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Miongozo
  • Sheria
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA
  • Wizara ya Kilimo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa