English
Kiswahili
Wasiliana nasi
|
Maswali yaulizwayo mara kwa mara
|
Baruapepe za Watumishi
|
Malalamiko
|
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Masasi
Toggle navigation
Mwanzo
Kuhusu Sisi
Historia
Asili ya Masasi
Historia ya Masasi Kiutawala
Orodha ya Viongozi
Ukubwa wa eneo
Hali ya hewa
Shughuli za Kiuchumi
Dira na Dhima
Maadili ya Msingi
Mikakati
Utawala
Muundo wa Halmashauri
Idara
Elimu Msingi
Elimu Sekondari
Utawala na Rasilimali Watu
Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
Fedha na Biashara
Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
Mifugo na Uvuvi
Afya na Ustawi wa Jamii
Ujenzi
Maji
Ardhi na Maliasili
Usafi wa Mazingira
Maendeleo ya Jamii
Vitengo
Ugavi na Ununuzi
Sheria na Usalama
Nyuki
Tehama na Uhusiano
Uchaguzi
Ukaguzi wa ndani
Fursa za Uwekezaji
Agriculture
Construction Minerals
Huduma
Huduma za Elimu
Upimaji wa Ardhi
Huduma za Afya
Huduma za maji
Huduma za kilimo
Huduma za mifugo
Huduma za uvuvi
Madiwani
Orodha ya Wah. Madiwani
Kamati za Kudumu
Fedha Utawala na Mipango
Uchumi Ujenzi na Mazingira
Kudhibiti UKIMWI
Maadili
Elimu Afya na Maji
Ratiba
Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
Miradi
Miradi iliyopangwa
Miradi inayoendelea
Miradi Iliyokamika
Machapisho
Miongozo
Taratibu
Sheria
Fomu za maombi
Jarida
Ripoti
Kituo cha Habari
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Video
Hotuba
Maktaba ya Picha
Habari
Matukio
Kupata mkopo Halmashauri kwa vikundi
UTARATIBU WA KUPATA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE NA VIJANA.
Ili kikundi kipatiwe mkopo kupitia mfuko wa maendeleo ya wanawake na vijana ni lazima kiwe kimekidhi masharti yafuatayo:
Kikundi lazima kiwe cha wanawake tu
Kikundi cha vijana lazima kiwe na vijana wa kike au kiume wenye umri wa kuanzia miaka 15-35
Kikundi cha wanawake umri ni kuanzia miaka 18 na kuendelea
Kikundi lazima kiwe na mradi endelevu ya kiuchumi.
Kikundi lazima kiwe kimesajiliwa/kuandikishwa na Taasisi yeyote inayotambulika kisheria
Kikundi lazima kiwe na makazi ya kudumu ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Masasi (kutambuliwe na serikali za mitaa).
Kikundi ni lazima kiwe na miradi halali kwa mujibu wa sheria za Nchi ya Tanzania
Kikundi ni lazima kiwe na akaunti benki inayotambulika kisheria
Kikundi lazima kiandike andiko la mradi ambao kinaombea mkopo.
Kikundi kitafanyiwa tathimini ya kiuchumi kulingana na andiko lao
Taarifa ya tathimini ya vikundi vinavyoomba mkopo hujadiliwa na kamati ya mkopo ya Wilaya na kutolewa maamuzi.
Kwa vikundi vinavyopitishwa na kamati kupatiwa mkopo, fedha za mkopo huingizwa moja kwa moja kwenye akaunti ya kikundi.
Riba ya mkopo ni asilimia 10 (10%) ya kiasi kinachokopeshwa
Muda wa marejesho ya mkopo ni mwaka mmoja (miezi 12) ikijumuisha muda wa matazamio (Grace Period) ya miezi mitatu
Matangazo
UJENZI WA VIBANDA VYA BIASHARA STENDI MPYA YA NDANDA
December 14, 2020
KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI
December 11, 2020
TANGAZO LA KUBAINISHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI
January 11, 2021
Tangazo kwa umma
May 16, 2018
Angalia Zaidi
Habari Mpya
WADAU WA ELIMU WAKUTANA KUJADILI CHANGAMOTO ZA ELIMU HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI
February 04, 2021
WAHESHIMIWA MADIWANI WAPEWA MAFUNZO MAALUMU HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI
January 25, 2021
MASASI DC YAFANYA SHEREHE LEO KWA KUTOA MIKOPO NA ZAWADI
January 23, 2021
WENYEVITI WA VIJIJI WAPEWA SEMINA ELEKEZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI
January 22, 2021
Angalia Zaidi