• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Kuunda Kikundi

UTARATIBU WA KUANDIKISHA KIKUNDI

Halmashauri ya wilaya ya masasi kupitia idara ya maendeleo ya jamii imesajili vikundi vya kiuchumi vyenye idadi ya 1137.

Halmashauri ya wilaya ya Masasi kupitia idara ya maendeleo ya jamii imejiwekea utaratibu wa kuvipa ujuzi vikundi vya kijamii na kiuchumi

Ufuatao ni utaratibu wa kuandikisha kikundi  .

  • Kikundi cha kiuchumi na kijamii lazima kiwe na rasimu katiba iliyoandaliwa na wanakikundi wote.

  • Rasimu hiyo ikishakuwa tayari huwasilishwa kwa Afisa Maendeleo ya jamii kwaajili ya ushauri wa kitaalamu.

  • Baada ya rasimu kupitiwa na kukubalika na wanakikundi wote, rasimu huthibitishwa kuwa katiba rasmi ya kikundi.

  • Baada ya katiba kukamilika, kikundi husika huketi na kuandaa muhtasari ambao ndani yake unakuwa na agenda kuu ya kuomba kuandikishwa kwa Mkurugenzi Mtendaji (W) kwani katika halmashauri ndiye mwenye mamlaka ya kuidhinisha mamlaka ya kuidhinisha kuandikisha kikundi.

  • Muhtasari huo huambatishwa na barua ya kuomba kuandikishwa ambayo inapitishwa na kusainiwa kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji na Mtendaji wa Kata.

  • Mkurugenzi akishatoa idhini ya kikundi husika kuandikishwa, kikundi kina wajibu wa kulipia Tshs 20,000 elfu ishirini tu ikiwa ni gharama za uandikishaji.

  • Fedha za uandikishaji zinalipiwa benki kupitia akaunti ya halmashauri, ambapo pay in slip iliyotoka benki huwasilishwa ofisi ya uhasibu na kukatiwa risiti ya kielektroniki ya kukiri mapokezi ya fedha.

  • Kikundi kinaandikishwa katika daftari la kudumu la halmashauri na kupatiwa namba rasmi inayotambulika.

  • Kikundi kinapatiwa cheti cha uandikishaji kinachosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji pamoja na Afisa Maendeleo ya ndani.

Matangazo

  • UJENZI WA VIBANDA VYA BIASHARA STENDI MPYA YA NDANDA December 14, 2020
  • KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI December 11, 2020
  • TANGAZO LA KUBAINISHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI January 11, 2021
  • Tangazo kwa umma May 16, 2018
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • WADAU WA ELIMU WAKUTANA KUJADILI CHANGAMOTO ZA ELIMU HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI

    February 04, 2021
  • WAHESHIMIWA MADIWANI WAPEWA MAFUNZO MAALUMU HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI

    January 25, 2021
  • MASASI DC YAFANYA SHEREHE LEO KWA KUTOA MIKOPO NA ZAWADI

    January 23, 2021
  • WENYEVITI WA VIJIJI WAPEWA SEMINA ELEKEZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI

    January 22, 2021
  • Angalia Zaidi

Video

JUMA LA ELIMU, Uwajibikaji wa wazazi na mazingira bora chachu kwa wanafunzi kuongeza ufaulu
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa